SIMBA YAMWANGUKIA CHAMA, YATAKA AREJEE KIKOSINI tarehe Januari 28, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Klabu ya soka ya Simba imemtaarifu Clatous Chama kuwa arejee kambini kwaajili ya kutumikia mkataba wake wa miezi mitano uliobaki.Klabu itazungumza nae kuhusu suala lake la nidhamu kisha itamruhusu aanze mazoezi na wachezaji wenzakeClatous Chama.