Baada ya kuondolewa hii leo kwenye Michuano ya AFCON 2023,Ivory Coast anaweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza mwenyeji kupoteza michezo miwili ya hatua ya makundi ya #TotalEnergiesAFCON tangu mwaka 1984.
Ivory Coast leo imepokea kichapo cha mabao 4-0 toka kwa Guinea Ikweta katika mchezo wa mwisho huku ikiwa mwenyeji.
Timu ya mwisho kufanya hivyo pia ilikuwa ni Timu ya Taifa ya Ivory Coast