GADIEL MICHAEL ATAMBULISHWA CAPE TOWN SPURS tarehe Januari 25, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Nyota wa Zamani wa Klabu ya Azam FC , Yanga , Simba na Singida Big Stars amejiunga rasmi na Kikosi cha Cape Town Spurs inayoshiriki ligi Kuu ya South Africa.Gadiel anaungana na Kocha wake wa Zamani wa Singida Fontaine Gate Ernst Meddendorp pale