Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Yanga SC, RS Berkane na Timu ya Taifa ya Burundi Fiston Abdulrazaq amesajiliwa na klabu ya Coastal Union ya Tanzania .
Abdulrazak aliwahi kucheza Yanga lakini hakuweza kufanya maajabu yoyote chakushangaza RS Berkane ya Morocco ikanasa saini yake hats hivyo imeshindwa kudumu naye na Coastal Union inajaribu bahati yake kuwa naye