Clatous Chama amekuwa mchezaji wa pili kutoka Simba SC Tanzania baada ya Enock Inonga Baka kuthibitishwa kushiriki AFCON 2023 itakayofanyika Cote De Voire kuanzia January hii akiwa na Chipolopolo (Zambia .
Mpaka sasa ni wachezaji watatu tu kutoka Ligi Kuu bara ya NBC waliothibitishwa kwenda AFCON, wachezaji hao ni Hennock Inonga, Clatous Chama na Kennedy Musonda