AZAM FC YAVUTA KIFAA CHA COLOMBIA


Klabu ya Azam FC imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa klabu ya Cortulu'a Franklin Navarro raia wa Colombia,.

Navarro mwenye miaka 23 mwaka huu akicheza Ligi daraja la pili nchini Colombia amefunga jumla ya bao moja na kutoa assist mbili katika mechi 14

Hawa ndoo matajili Tanzania nzima