WASHINDANI WA YANGA WALIVYOWASILI DAR

Klabu ya Al AlhlyTayari imewasili Tanzania Kwa ajili ya Mchezo Wa Hatua ya Makundi Ya Klabu Bingwa Afrika Dhidi ya Yanga SC

Mchezo Huo Utapigwa Jumamosi Hii Katika Dimba la Benjamin Mkapa