STARS YAWASILI MOROCCO tarehe Novemba 16, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Timu ya Taifa ya Tanzania, “Taifa Stars” imewasili Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023.Stars iliondoka alfajiri ya leo na imewasili salama