HUYU NDIO MSANII MPYA WCB tarehe Novemba 18, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Staa wa Singeli, D Voice Ginnii anakuwa msanii wa nane kutambulishwa na WCB Wasafi, Record Label yake Diamond Platnumz. Utakumbuka awali WCB iliwatambulisha Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso na Zuchu.