ASHA MASAKA ASHANGAZA HUKO ULAYA tarehe Novemba 24, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Princess ya Tanzania na pia mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Twiga Stars Aisha Masaka amekuwa mchezaji wa kwanza mwanamke kucheza timu mbili za UEFA CL, dhidi ya Paris FC na Madrid.