ASEC KAMILI KUIVAA SIMBA KESHO tarehe Novemba 24, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Kikosi cha Asec Mimosas kimefanya mazoezi ya kwanza katika uwanja wa Gymkhana jijini Dar Es Salaam kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya Simba Sc Jumamosi hii Novemba 25 katika dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.