MTANZANIA APIGA BONGE LA GOLI SERBIA

Beki wa Kimataifa wa Tanzania Alphonce Mabula hapo jana alifunga goal moja wakati klabu yake ya Fk Novi Sad ikipoteza mchezo kwa mabao 2-1 dhidi ya Sloboda katika mchezo wa ligi Daraja la kwanza nchini Serbia.

Hili ni bao lake la 2 katika michezo minne aliyocheza tangu ajiunge klabuni hapo.

Mabula anacheza Ligi moja na Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Simba,Dejan Georgejivc