ADAM SALAMBA HUYOOO LIBYA tarehe Oktoba 24, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania,Adam Salamba amejiunga na Club ya Libyan stadium inayo shiriki ligi Daraja la kwanza nchini Libya Akitokea Ghazil el Mahalla Ya Nchini Misri