MWAKINYO AGOMEA PAMBANO

Na Mwandishi Wetu

Bondia Hassani Mwakinyo wa Tanzania ameweka wazi kesho hatopanda ulingoni kutokana na uongo na udanganyifu wa mapromota baada ya kubadilishiwa mpinzani wa awali Rayton Okwiri na kupewa bondia Julius Indongo wa Namibia