MAJOGORO AWA MCHEZAJI BORA SAUZI


Mtanzania Baraka Majogoro (26) hapo jana aliibuka Mchezaji bora wa mechi ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ wakati timu yake ya Chippa Utd ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Super Sport Utd.

Chippa Utd bila Majogoro
🀝 Kaizer Chiefs 0-0 Chippa Utd
🀝 Chippa Utd 0-0 Ts Galaxy
🀝 Chippa Utd 1-1 Orlando pirates
❌ Chippa Utd 0-2 Mamelodi

Chippa wakiwa na Majogoro
βœ… Cape Town Spurs 0-1 Chippa Utd (90')
❌ Chippa Utd 2-3 Royal AM (90')
βœ… Richards Bay 1-2 Chippa Utd (90')
βœ… Chippa Utd 1-0 Super Sport (90')


Chippa Utd wanashika nafasi ya 4️ kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini wakiwa na alama 12 katika mechi 8️ walizocheza hadi sasa.