Na Mwandishi Wetu
Mabingwa wa Morocco Far Rabat Wanaonelewa na kocha wa Zamani wa Yanga sc Nasreddine Nabi wamefuzu hatua ya pili ya CAFCL
Hatua iyo inafuata baada ya kuwaondosha A.Kara ya nchini Togo kwa Matokeo ya Jumla Bao 8-0.
Mchezo wa Kwanza Ugenini Far Rabat walishinda [1-0] kabla ya kumshushia mtu week leo hii nchini Morocco [7-0]
Ushindi Huo unawahakikishia Far Rabat nafasi ya kusonga mbele hatua inayofuata kabla ya kufuzu hatua ya makundi
Far Rabat watakutana na Mabingwa Wa Tunisia Etoile du sahel Kibarua kingne kwa Prof Nabi..
FAR RABAT VS ETOILE DU SAHEL
Mshindi wa matokeo ya Jumla Atajihakikishia Ticket ya kufuzu makundi moja kwa moja
Mechi za Waarabu kwa Waarabu tena ktk mechi ya Maamuzi huwa raha sana figisu wanafanyiana na vurugu juu acha tuone.
Etoile Du Sahel ni wamoto sana msimu huu na walipania sana kurejea katika ramani ya soka, ni atasonga mbele ni jambo la kusubiri na kuona