WAKAGUZI WA MIUNDOMBINU WA CAF WAWASILI DAR tarehe Julai 29, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Wakaguzi wa Miundombinu wa CAF kwa ajili ya uwenyeji wa Fainali za Mataifa ya Afrika 2027 wakifanya ukaguzi wa maeneo mbalimbali ya uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Terminal II, Dar es Salaam