TRY AGAIN ATEMBELEA KAMBI YA SIMBA HUKO UTURUKI tarehe Julai 30, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Muhene ‘Try Again’ ametembelea kambi ya timu ya Simba hapa jijini Ankara, Uturuki ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi mambo mbalimbali kuelekea msimu mpya wa 2023/24.