“Nimetazama jezi nyingi zilizozinduliwa hivi karibuni, hadi hii ya leo ya Simba Sc , nafikiri mtengeneza jezi wa Namungo Fc, Simba SC, Yanga Sc , Singida Fountaingate ni mtu mmoja, ukitaka kuliona hilo tazama bei zao zinafanana, kisha tazama na ufito wa jezi katika mikono. Kwangu naona zimetofautiana rangi tu “
-Alex Lwambano
