BERNARD MORRISON KUIBUKIA AZAM tarehe Juni 30, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine INASEMEKANA kiungo mshambuliaji wa zamani wa miamba Simba na Yanga Bernard Morrison anatarajia kutambulishwa na wanalamba lamba, Azam FC.Inadaiwa kwamba Bernard Morrison amejiunga na Azam fc kwa mkataba wa miaka miwili ,