USM ALGER WAPASHA KWA MARA YA MWISHO KABLA YA KUIVAA YANGA KESHO

Kikosi cha USM Alger kimefanya mazoezi yake ya mwisho jioni ya leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya kuwavaa Yanga hapo kesho.