NABI AIKATIA TAMAA YANGA

“Kwa sasa siwezi kutoa ahadi ya uongo lakini bado nina matumaini mechi haijaisha. Ninajua timu yangu ina uwezo wa kwenda kupata magoli ugenini.
Leo tumemiliki mpira kwa asilimia 65, kwa hiyo inaonesha tuna ubora utakaotufanya tupate matokeo ya ushindi ugenini"

“Siwezi kuahidi 100 kwa 100 tutarudi na kombe, lakini tutajitolea kwa kadri ya uwezo wetu kwa sababu hatuna tena cha kupoteza”

-Kocha wa Yanga SC Nasreddine Nabi baada ya kufungwa goli 2-1 nyumbani na USM Alger kwenye mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mechi ya marudiano itapigwa Juni 03 Algeria.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI