BAYERN MUNICH MABINGWA TENA UJERUMANI


BAYERN MUNICH wametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Ujerumani kwa mara ya 11 Mfululizo baada ya kushinda kwa goli 2-1 dhidi ya FC Koln huku Borussia Dortmund wakisare kwao 2-2 dhidi ya Mainz 05.