Tusker, Gor Mahia zamuwania Yacouba Sogne tarehe Aprili 30, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Vilabu vya Tusker na Gor Mahia vimeingia vitani kuisaka saini ya kiungo wa ushambuliaji wa klabu ya Ihefu raia wa Burkina Faso Yacouba Songne,Kandarasi ya Yacouba Songne na Ihefu inatamatika mwishoni mwa msimu huu 2022-2023.