Orodha ya nyota watatu (3) ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) kwa mwezi Aprili, 2023.
π€ Jean Othos Baleke
π€ Denis Kibu Prosper
π€ Ally Salim Juma (GK)