Yanga wakijifua Stade TP Mazembe Stadium leo tarehe Machi 31, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Kikosi Cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya kwanza nchini DR Congo kwenye uwanja wa Stade TP Mazembe ikiwa ni maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe