Winga mtukutu, Bernard Morrison ameachwa katika kikosi cha wachezaji wa Yanga waliondoka leo Alhamisi kuelekea Congo kwa mechi ya marudiano dhidi ya TP Mazembe itakayochezwa Jumapili saa 10:00 jioni.
.
Taarifa kutoka Yanga inasema kuwa, Bernard Morrisoni, Dickson Ambundo na Mshery hawatasafiri na timu.