Baada ya #RealMadrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili Erling Haaland (22), #ManchesterCity imepanga kuboresha mshahara wa mshambuliaji huyo ili kumshawishi abaki
Kwa sasa analipwa Paundi 375,000 (Tsh. Bilioni 1) kwa wiki akiwa sawa na Kevin De Bruyne wa Man City na kipa wa ManchesterUnited, David de Gea
