Baba yake Manara kumng' oa Feitoto Yanga tarehe Machi 29, 2023 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mzee Sunday Manara amesema, kuna watu kutoka Ulaya wamemtafuta kumtaka Feisal Salum 'Feitoto', na wapo tayari kutoka milioni 300, mshahara wa milioni 24 kwa mwezi na gharama za tiketi ya ndege ili kwenda kucheza soka Ulaya.