Na Rjm Pilen
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Shaban Idd Chilunda amekamilisha Usajili wake ndani ya klabu ya CD Tenerife ya nchini hispania .
Wawakilishi wake , ONRESA Football Agency wamethibitisha Kusajiliwa kwa mchezaji huyo Kupitia ukurasa wao wa Instgram
Chilunda amekula kandarasi ya miaka 2 ya Kuitumikia klabu hiyo Inayoshiriki Segunda Division ya Hispania .
Sasa ataungana na mtanzania mwenzake Farid Musa ambaye na yeye anakipiga katika klabu hiyo