Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Kispoti

DR RAHMAN ALIWATABIRIA UBINGWA REAL MADRID KABLA YA MECHI

Na Prince Hoza

TIMU ya Real Madrid ya Hispania imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool ya England usiku wa Jumamosi katika Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine.

Hilo linakuwa taji la 13 la rekodi ya michuano hiyo kwa Real Madrid, baada ya awali kushinda miaka ya 1956, 1957, 1958, 1959, 1960, 1966, 1998, 2000, 2002, 2014, 2016 na 2017 na kufungwa katika fainali za 1962, 1964 na 1981.

Liverpool wamecheza fainali nane na ya kwanza tangu mwaka 2007 ambayo walishindwa dhidi ya AS Roma ya Italia wakiwa na rekodi ya kushinda taji hilo mara tano katika miaka ya 1977, 1978, 1981, 1984 na 2005 na Jumamosi usiku wamefungwa kwa mara ya tatu kwenye fainali baada ya mwaka 1985 na 2007.

Katika mchezo huo wa fainali mjini Kiev, Liverpool ilipata pigo mapema tu katika mchezo huo baada ya mshambuliaji wake nyota, Mmisri, Mohamed Salah kutolewa nje dakika ya 30 kipindi cha kwanza kufuatia kuumia baada ya kugongana na beko na nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos.

Kipa Loris Karius akawazawadia bao la kuongoza Real Madrid baada ya kuupiga mpira bila uangalifu mbele ya Mfaransa Karim Benzema na ukamgonga na kuingia nyavuni dakika ya 51, lakini mshambuliaji Msenegar, Sadio Mane akaisawazishia Liverpool dakika nane baadaye baada ya kabla ya Gareth Bale kutokea benchi na kufunga mabao mawili dakika ya 64 na 83.

Karius alitua Liverpool akitokea timu ya Mainz mwaka 2016 na alikuwa na mwanzo mgumu kabla ya kuzinduka na kuwa kipa chaguo la kwanza mbele ya kocha Jurgen Kloop akimpindua kipa Simon Mignolet.

Lakini makosa ya Karius ayatasahaulika milele, katika mchezo huo ambao utakumbukwa daima hasa kutokana na kuingia kwenye uahindanu toka kwa mashabiki wa timu zote kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo wakitambiana kila mahari.

Mimi kabla sijaanza kuingia kwenye mabishano ya kuelekea katika mchezo huo nilianza kuwatafuta wale wanajimu wa nyota ili angalau waweze kuniondolea wasiwasi hasa niliokuwa nao kuelekea katika mchezo huo.

Siyo siri kwenye fainali hiyo nilikuwa natazamia timu ya Liverpool kuweza kuibuka kidedea licha kwamba ilikuwa inakutana na timu yenye watu waliokamilika haswa. Tukiwa katika kijiwe chetu cha kuzozana mambo ya soka na wabishi wenzangu, kauli ya Liverpool bingwa ilikuwa ikitoka kinywani mwangu bila kujua kinachotokea usiku wa Jumamosi katika Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev nchini Ukraine.

Bila kusita simu yangu ya mkononi ilikuwa na salio kidogo hivyo sikuona tabu kuamua kumpigia mtabibu bingwa Afrika mashariki anayetokea Tanga kwa Msisi, DR RAHMAN ambaye amefikia Tabata Shule akisaidia wanadamu wenye matatizo tofauti kama mimi, sikuamini alichonijibu kwa maana wabishi wenzangu walikuwa kimya wakisikiliza simu niliyompigia DR RAHMAN.

DR RAHMAN akaweka wazi utabiri wake katika kilinge chake kuwa timu ya Real Madrid itashinda kombe la Ulaya, "Nakwambia hivi mwandishi timu inayotokea mji wa Madrid itashinda kikombe", alisema DR RAHMAN huku akidai mji huo kinyota unaonekana umejawa na neema tele.

Tayari timu ya Atletico Madrid imeshinda kombe la European League kwa kuishinda timu ya Marseille ya Ufaransa, hivyo bahati ya mtende inazidi kuiangukia Madrid. Sikuamini alichotabiri DR RAHMAN hasa kwakuwa mimi ni mgumu kuamini utabiri, lakini kilichokuja kutokea mjini Kiev, nikaanza kukubaliana na DR RAHMAN na kuthibitisha urabiri wake uliotukuka.

Mbali na kutabiri matokeo, DR RAHMAN akatabiri kuzimika kwa Mohamed Salah na Cristiano Ronaldo kwenye mchezo huo, na ndipo nilipomuona DR RAHMAN ni mtabiri wa kweli pale alipotabiri kwamba atatokea mchezaji kutoka benchi ndiye atakayeamua mchezo huo, ni kweli Gareth Bale alitokea benchi akafunga magoli yote mawili yaliyoipa kombe la 13 la Ulaya, Real Madrid.

Kuzimika kwa Salah ambaye aliumia mapema na kutolewa nje kisha kufifia kwa Ronaldo ambaye alibanwa vikali na mabeki wa Liverpool, DR RAHMAN anayepatikana kwa namba 0656 876561 alidai nyota zao zilijificha kabisa ila kama wangefahamu uwezo wake angeweza kuzifufua, DR RAHMAN anao uwezo wa kusafisha nyota hata kwa wanamichezo kwani ameweza kuwasaidia wanasoka mbalimbali nchini Kenya alipowenda mwaka juzi.

Kama unamkumbuka Dennis Oliech au Mackdonald Mariga wote hao amewahi kuwasaidia kinyota na wakaweza kung' ara barani Ulaya, mbali na utabiri, DR RAHMAN anatibu magonjwa sugu, kutokwa na nyama sehemu za haja kubwa (Bawasiri( upungufu wa nguvu za kiume NK, ama unaweza kulisoma tangazo lake hapo chini.

DR RAHMAN anasaidia klabu za michezo kushinda mechi ama kikombe na si kwamba ametabiri kwa Real Madrid peke yake, Mnajimu huyo bingwa katika ukanda huu ambaye anakiri kuwa aliachiwa mikoba na babu mzaa mama yake, aliwahi kutabiri Simba SC itatwaa ubingwa wa Bara msimu huu kitu ambacho kimetokea kweli.

DR RAHMAN hutumia pia kitabu cha Quraani ili kuweza kujua na kutambua mambo mengi duniani ikiwemo ubashiri wake uliotukuka, Gharama zake ni karibu na bure na ndio maana amewahi kualikwa katika miji mbalimbali ya nchi za Afrika mashariki pamoja na Uarabuni

Alamsiki

NAWATAKIA RAMADHAN KARIM

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Timu inaitwa Mashujaa Lake Tanganyika FC ( Mashujaa FC ) ilianza rasmi kampeni yake ya kupanda Ligi Kuu tarehe 29/9/2018 na imepanda Ligi Kuu 25/06/2023 miaka mitano ya kupambana kwenye Ligi Daraja la kwanza Championship. Timu hii inaendeshwa kwa ushirikiano wa pande mbili kati ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa niaba ya Wananchi wa Kigoma. Muelewe hapa maana wengi wanasema ni timu ya Jeshi asilimia 100% Nembo ya timu ni Sokwe Dume, Shujaa wa Hifadhi za Gombe na Mahale zilizopo mkoani Kigoma. Rangi ya kwanza ya jezi ya timu (first kit) ni hiyo hapo chini na kwenye nembo ya timu ni rangi za tunda la michikichi (mawese ). Hii kama njano ni mawese yaliyoganda na huo wekundu ni mawese ya moto. Ukishika tunda la Mse juu utaona wekundu na ukikata katikati utaona njano. Nyeupe ni ‘nazi’ ya Mse hizi ni alama za utajiri wa Kigoma Jezi nyingine ni blue inayowakilisha Ziwa Tanganyika na Jezi nyingine ni Nyeupe

Ngao ya Jamii sasa ni Simba na Yanga

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limebadilisha kanuni za mashindano za Ngao ya Jamii kutoka timu nne na sasa utaratibu utakuwa kama zamani. Bingwa wa Ligi Kuu bara atacheza na mshindi wa kombe la CRDB Cup "CRDB Federation Cup, na endapo kama bingwa wa ligi na CRDB atakuwa ni mmoja basi mshindi wa pili kwenye Ligi Kuu ya NBC atacheza mchezo wa ufunguzi wa ligi yaani Ngao ya Jamii.  Hivyo ni rasmi ufunguzi wa wa ligi kuu mchezo  wa "Ngao ya Jamii msimu huu 2025-2026 ni Yanga na Simba watakutana.

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

Na Prince Hoza AFISA Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Shabani Kamwe alidiriki kuudanganya umma wa wapenzi wa soka hapa nchini kwamba hakuna timu yoyote hapa Tanzania kuwahi kuingia hatua ya nusu fainali ya vilabu Afrika. Kamwe alisema timu yake ya Yanga itakuwa timu ya kwanza nchini kuingia nusu fainali ya Afrika, Yanga ilikuwa inakaribia kabisa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika. Yanga ilianza vizuri ikiwa ugenini baada ya kuilaza mabao 2-0 timu ya Rivers United ya Nigeria, hivyo ilikuwa inasubiria mchezo wa marudiano uliofanyika uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Kwa vyovyote Yanga walikuwa na uhakika wa kutinga nusu fainali kwani walihitaji sare yoyote ama ushindi wa aina yoyote. Hapo ndipo Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe aliamua kupiga vijembe kwa watani zake Simba SC na kuipotosha jamii kwa kudai kwamba Yanga itakuwa timu ya kwanza Tanzania kuingia nusu fainali ya Afrika. Kamwe ameifuta hadi rekodi ya Simba kuwa timu ya kwanza Tan...