Hatimaye ndoa ya Diamond na Zari yavunjika rasmi

Na Saida Salum. Dar es Salaam

Zarinah Hassan(Zari) ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva nchini humo, Nasibu Abdul(Diamond Platnumz)

Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano

Zari na Diamond katika kipindi chao cha mahusiano kilichodaiwa kuanza Novemba 2014 wameweza kupata watoto wawili, Tiffah na Nillan

Diamond na mkewe Zari kabla haeajaachana