Matokeo yote ya VPL leo hii, haya hapa

Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam.

Simba SC 4 Njombe Mji FC 0, (Uhuru Stadium Dar es Salaam). 

Ndanda FC 0 Singida United 0, (Nangwanda Sijaona, Mtwara), 

Mbao FC 0 Azam FC 0, (CCM Kirumba, Mwanza)

 Mtibwa Sugar 1 Tanzania Prisons 0 (Manungu Complex, Morogoro)

 Lipuli Fc 1 Majimaji Songea 0, (Samora Stadium, Iringa) 

Mbeya City 2 Ruvu Shooting 0 (Sokoine Stadium, Mbeya) 

Kesho Jumapili Stand United vs Yanga SC (CCM Kambarage, Shinyanga)

Wachezaji wa Azam FC wakipasha kabla ya kuingia mchezoni