Ruka hadi kwenye maudhui makuu

TANGAZO: HODI....HODI....HODI....ZANZIBAR

NI YULE YULE ALIYEWAACHA HOI RAIA WA NCHI ZA INDIA, CHINA, MAREKANI NA URUSI HADI WAKAMNG' ANG' ANIA ABAKI KWAO:

CHIFU PANDUKA: Ni bingwa wa tiba asilia, amejibu maombi ya Wazanzibar ambao kwa muda mrefu walitamani ujio wake, CHIFU PANDUKA: Atakuwa Zanzibar kuanzia Jumatatu ijayo hadi Jumatano.

CHIFU PANDUKA: Anaendelea kuonyesha miujiza yake kwa Dawa yake ya uzazi hasa kwa wanawake wasiopata ujauzito, yeye amekuwa akiwapa Dawa na baadaye kushika ujauzito, wengi wamepata watoto kwa ajili yake, basi usikose kwenda kumuona ili kujibu ndoa yako.

CHIFU PANDUKA: Anazo Dawa nyingine mbalimbali kama za Nguvu za kiume, Magonjwa sugu, Kisukari, Presha, anakinga ya nyumba, mashamba na hata mali zako zisiibiwe. Kwa wavuvi CHIFU PANDUKA anayo Dawa ya bahati irakayokufanya uvue samaki wengi.

CHIFU PANDUKA pia anayo Dawa ya mvuto wa biashara, acha kulalamika biashara yako haitoki, anayo Dawa inayoleta wateja pia anayo Dawa ya mvuto wa mapenzi kaa upendwi utapendwa, anatoa mikosi mwilini, usiangaike CHIFU PANDUKA yule yule unayemsikia redioni, unayemuona kwenye televisheni na unayemsoma magazetini. Ni bingwa wa tiba asilia na anayeheshimika sana kwa utabiri kuliko mtu yeyote yule Afrika Mashariki na kati.

Amewahi kutabiri kuhusu kukamatwa kwa watu mashuhuri hapa nchini na kwelj ikatokea, Akatabiri tetemeko la ardhi na kweli likatokea huko Bukoba na Sumbawanga, pia Akatabiri kutokea kwa joto kali na baadaye mvua kubwa na mafuriko na tayari yameanza kutokea, akatabiri kupatwa kwa jua Afrika Mashariki na kweli ikatokea jijini Mbeya.

CHIFU PANDUKA: anakumbukwa vema na wengi hasa jijjni Dar es Salaam pale alipotumia tego lake la nyoka hasa kwa wale wakwale wa kutoka na wake za watu ama waume za watu, Na miujiza ya tego lake imeshaonekana hasa baada ya watu kunasiana.

CHIFU PANDUKA: ndiyo kiboko ya wachawi kwa sasa. Anapatikana jijini Dar es Salaam pale Tabata Relini, Lakini akiwa Zanzibar atafikia Bwawani Hoteli.

Waweza kuwasiliana naye kwa namba 0653364971/0754951366

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Timu inaitwa Mashujaa Lake Tanganyika FC ( Mashujaa FC ) ilianza rasmi kampeni yake ya kupanda Ligi Kuu tarehe 29/9/2018 na imepanda Ligi Kuu 25/06/2023 miaka mitano ya kupambana kwenye Ligi Daraja la kwanza Championship. Timu hii inaendeshwa kwa ushirikiano wa pande mbili kati ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa niaba ya Wananchi wa Kigoma. Muelewe hapa maana wengi wanasema ni timu ya Jeshi asilimia 100% Nembo ya timu ni Sokwe Dume, Shujaa wa Hifadhi za Gombe na Mahale zilizopo mkoani Kigoma. Rangi ya kwanza ya jezi ya timu (first kit) ni hiyo hapo chini na kwenye nembo ya timu ni rangi za tunda la michikichi (mawese ). Hii kama njano ni mawese yaliyoganda na huo wekundu ni mawese ya moto. Ukishika tunda la Mse juu utaona wekundu na ukikata katikati utaona njano. Nyeupe ni ‘nazi’ ya Mse hizi ni alama za utajiri wa Kigoma Jezi nyingine ni blue inayowakilisha Ziwa Tanganyika na Jezi nyingine ni Nyeupe

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

Na Prince Hoza AFISA Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Shabani Kamwe alidiriki kuudanganya umma wa wapenzi wa soka hapa nchini kwamba hakuna timu yoyote hapa Tanzania kuwahi kuingia hatua ya nusu fainali ya vilabu Afrika. Kamwe alisema timu yake ya Yanga itakuwa timu ya kwanza nchini kuingia nusu fainali ya Afrika, Yanga ilikuwa inakaribia kabisa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika. Yanga ilianza vizuri ikiwa ugenini baada ya kuilaza mabao 2-0 timu ya Rivers United ya Nigeria, hivyo ilikuwa inasubiria mchezo wa marudiano uliofanyika uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Kwa vyovyote Yanga walikuwa na uhakika wa kutinga nusu fainali kwani walihitaji sare yoyote ama ushindi wa aina yoyote. Hapo ndipo Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe aliamua kupiga vijembe kwa watani zake Simba SC na kuipotosha jamii kwa kudai kwamba Yanga itakuwa timu ya kwanza Tanzania kuingia nusu fainali ya Afrika. Kamwe ameifuta hadi rekodi ya Simba kuwa timu ya kwanza Tan...

Mabululu ni wa Simba SC

Simba wameweka donge nono kunasa saini ya mshambuliaji Agostinho Cristovan Paciencio Mabululu anayekipiga Al Tripoli ya Libya Ili ajiunge na Wekundu hao wa Msimhazi. Simba wamefanya mazungumzo ya moja kwa moja na wakala wa Mabululu na mchezaji mwenyewe na wako tayari kulipa kiasi cha juu zaidi kunasa saini ya mshambuliaji huyo hatari zaidi Simba wanahitaji kumalizana na mshambuliaji huyo badala ya kumaliza fainali ya kombe la Shirikisho, tayari Crecentius Magori yuko nyuma ya mpango huo kuhakikisha Simba ijayo inatisha. Mbali na Mabululu, Simba pia inahitaji Saini ya kiungo mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum "Feitoto" ambaye pia amewahi kuichezea Yanga SC