YANGA KUJIPIMA NA JKU KESHO UHURU

Na Prince Hoza

Kikosi cha Yanga  jumamosi tar 10/12/2016 kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU  toka Zanzibar.
Mchezo utafanyika uwanja wa Uhuru utaanza saa 10 kamili jioni.

Kiingilio cha mchezo huo kitakuwa sh.5000/ kwa mzunguko na 10000/= kwa VIP.

Tiketi za mchezo huu zitakua ni za electroniki kwa kadi za Selcom.
Mchezo huu utatumika kumuaga kiungo Mbuyu Twite.