Msaka vipaji wa Man U, Ubelgiji huyu hapa

Na Salama Ngale

Klabu ya Manchester united imemteua mchunguza vipaji Raia wa ubelgiji Roland Jansen kuwa jicho katika soka la ubelgiji ambalo limefanikiwa kutoa nyota kadhaa wanao sakata kabumbu nchini uingereza.

Janssen  alikua msaka vipaji wa klabu ya Genk ndio aliye wapeleka Kevin De bruyne na Thibaut courtois ambao waliuzwa katika klabu yaChelsea  kwa faida kubwa.

Pia anahusisha wa kumpeleka Genk kiungo mkabaji Wilfried Ndidi (19) ambae kwasasa anakarbia kutua king power studium kwa dau lisilo pungua paun million 15.