Man United ilipoikosakosa Arsenal jana

Mpambano mkali na wa kusisimua kati ya Manchester United na Arsenal uliopigwa katika dimba la Old Trafford jijini Manchester.

Timu hizo zilifungana 1-1 Man U wanaonolewa na Jose Mourinho wakitangulia kupata bao la kuongoza lililofungwa na Huan Matta kabla ya Arsenal  kuchomoa kupitia kwa Okivier Giroud