Kweli Julio ameachana rasmi na soka tarehe Novemba 08, 2016 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Piçhani: Kocha wa zamani wa Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelu 'Julio' anaonekana katika picha akiwa kulia amesimama sambamba na gari la kifahari, lakini kimuonekano Julio yuko viwanja vya majuu akila maisha