Na Nasri Alfan, Dar es Salaam
Hii ni baada ya hapo jana kupiga Southampton Goli mbili kwa 0 Chelsea walipata magoli hayo kupitia kwa Hazzard dk6
Costa dk55
Chelsea kwa sasa wame kua wakitumia mfumo wa 3-4-3 toka walipo pokea kipigo cha goli 3 kwa 0 kutoka kwa Aresenal kipindi hiko waki tumia 4-2-3-1 mfumo ambao uli wapa Chida wachezaji wa Chelsea
Toka wa anze kutumia mfumo wa 3-4-3 Chelsea wame chinda michezo minne mfululizo uki wemo ule walio wapiga Manchester United goli 4 kwa 0 pale darajani
Conte ame kua muumini wa mfumo huo toka akiwa Juventus pia Timu ya Taifa ya Ital na sasa Chelsea
Mfumo ambao una onekana ume waingia kirahisi wachezaji wa Chelsea
Huku waki watumia zaidi
Golini 1. Thibaut Courtois
Mabeki
Azpilicueta devid luiz Gery Cahil
Viungo
Victor mosses Nemanja Matic Cante Marco Alonso
Washambuliaji
Pedro Rodrigues diego costa Hazzard