DEMBELE ASHANGAZA DUNIA

Karamoko Kadere Dembele mwenye umri wa miaka 13 jana ameweza kuishangaza dunia kwa kucheza mechi yake ya kwanza katika kikosi cha timu ya Celtic chini ya miaka 20.

Dembele mwenye uwezo mkubwa wa kukaa na mpira ,kukimbia pamoja na nguvu aliingia katika dakika 81 katika mechi waliyoshinda 3-1 dhidi ya Hearts hapo jana.

Mshambuliaji huyo ambaye wazazi wake ni wa Ivory Coast hana uhusiano wa kindugu na Moussa Dembele wa kikosi cha timu ya kwanza ya Celtic.

......... Wenzetu wana muendelezo Ulio bora zaidi , Ukitaka kuona Clips mbali mbali za huyu Kijana basi ni FOLLOW Instgram Rjm Pilen Alafu njooo Unambye Unampa asilimia ngapi