Na Prince Hoza, Dar es Salaam
Vilabu vya Simba na Yanga na vinginevyo vinavyoshiriki Ligi kuu bara jana vimetambulisha jezi zao itakazotumia katika msimu unaotarajia kuanza Agosti 20 mwaka huu, wanamitindo jana walizitambulisha jezi hizo.
Jezi za Simba zimeonekana kutulia zaidi kuliko za timu zote ingawa za Yanga zimeonekana kuvutia zaidi, uzinduzi huo wa jezi umefanyika jana