Michano: Suma G alivyopotea kwenye muziki, ni sawa na mvuvi aliyesinzia

Na Mkola Man, Tanga

yap yap yap leo michano inamchana SUMA G mkali wa uswahilini kuna vituko na pombe ukizidisha ina kuwa noma kama kuna wana hip hop ama wanaharakati wa mfano yeye ni mmoja wapo alikubalika sana hasa kwa staili yake tamu ya kurap na mbwembwe na vinogesho vyenye ladha ya uswahilini ila ameshindwa kuilinda aina ya mziki anaofanya na matokeo yake amekuwa kama ndio anaaza mziki michana mnafananisha na mvuvi wa samaki anaye tumia ndoano wakati wezake wanatumia nyavu kisha yeye analala apati samaki wengi bila kujua mziki wa sasa sio wajana tukutane wiki ijayo kwenye michano ya mkola man