Manji amrudisha Bin Kleb Jangwani

Na Prince Hoza, Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans, ndugu Yusufu Manji ameiunda upya kamati ya mashindano na kumteua Injinia Paul Malume kama mwenyekiti wa kamati hiyo ambayo awali ilikuwa chini ya ndugu Chanji. 
  Kamati hiyo inaundwa na wajumbe 17 kama ifuatavyo;

1. Mustafa Ulungo
2. Eng Mahende Mugaya
3. Abdallah Bin Kleb
4. Jackson Maagi
5. Samwel Lucumay
6. Hussein Nyika
7. Athuman Kihamia ( Arusha )
8. Felix Felician Minde ( Mwanza )
9. Leonard Chinganga Bugomola ( Geita )
10. Omary Chuma
11. Hussein Ndama
12. Hamad Ali Islam ( Morogoro )
13. Yusuphed Mhandeni
14. Beda Tindwa
15. Mosses Katabalo
16. Roger Lamlembe
17. John Mogha ( Mbeya )

Imetolewa na Kurugenzi ya habari ;
Young Africans Sports Club