MICHANO: MIKE TEE: Ni sawa na mfugaji wa kuku wa kienyeji aliyekata tamaa baada ya kuku wote kufa kwa mdondo
Na Mkola Man, TANGA
Yap Yap Yap Michano Leo Inamchana Mike T Mnyalu. Mwana hip hop Aliye Fanikiwa Na Style Yake Ya Kinyalu.
Alijipatia Mashabiki Wengi Sana, Hasa Ktk Nyimbo Zake Kama Sitobadilika Ft Q Chief, Nyalu Land Ft Lady Jay De, Nakupenda Ft Juma Nature, Utanipenda Ft Mad Ice. Leo Hii Namfananisha Na Mfugaji Wa Kuku Wa Kienyeji. Aliye Kata Tamaa Baada Ya Kuku Wake Kukumbwa Na Ugonjwa Wa Kideli Ama Mdondo.
Kisha Akaamua Kuacha Ufugaji Akiamini Ufugaji Huwo Auna Faida Zaidi Ya Hasara. Kumbe Yeye Ndio Chazo Cha Hasara Ama Faida.
Michano Inamshauli Mfugaji Asikate Tamaa, Ila Abadilishe Mfumo Wa Ufugaji Mabanda Yawe Masafi Hata Kama Niyakawaida Jingine Kinga. Micha Inawatakia Ijumaa Njema Nimimi Mkola Man Ktk Michano Ya Kujenga Na Walasikubomoa