Yanga yaichimba mkwara Coastal

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Yanga Sc wameipiga mkwara mzito Coastal Union ya Tanga ambao watakutana jumamosi ijayo katika iwanja wa CCM Mkwakwani.