
Tayari shughuri za ujenzi zinaendelea ambapo maroli yamekuwa yakimwaga vifusi katika eneo hilo la uwanja wa klabu ya Simba huku watani zao Yanga wakimuongezea mwaka mmoja mwenyekiti wao Yusuf Manji ili afanye usajili.
Rage alisema hivi karibuni kuwa ifikapo Juni 26 atakabidhi uwanja huo kwa Wana-Simba kitu kinachoonekana kuwa kweli, harakati za kukamilika kwa uwanja huo zinaonekana na sasa maendeo yanaridhisha.

