JENNIFER LOPEZ ALIVYOPAGAWISHA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA
tarehe
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
+23
Mwanamuziki
J-Lo akipagawisha mashabiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Fainali za
Kombe la Dunia 2014 kabla ya mchezo wa kwanza wa Kundi A baina ya
Brazil na Croatia usikuwa jana Uwanja wa Corintias mjini Sao Paulo.
+23
+23
Jennifer Lopez akiimba wimbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' pamoja na Pitbull na Claudia Lettie pichani chini