Ruka hadi kwenye maudhui makuu
BALOTELLI ANG'ARA MILAN IKIIUA CAGLIARI
TIMU ya AC Milan imeifunga Cagliari mabao 2-1,shukrani kwao Mario Balotelli na Giampaolo Pazzini waliofunga mabao hayo.
Ilikuwa
furaha kwa kocha moya Clarence Seedorf baada ya vijana wake kulipiku
bao la mapema la Marco Sau na kuibuka na ushindi huo.