
Ni
fundi wa magari ambae ni shabiki mkubwa sana wa soka, baada ya kazi
nzito ya gereji… muda wake mwingi anautumia sana kutazama soka… hakujua
kama siku moja angekuja kupigwa risasi akiwa anatazama mechi, stori ya
kisa kizima ataizungumza leo usiku april 29 2013 saa moja usiku kwenye
AMPLIFAYA ya Clouds FM.