Kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili (Physic), Tshephang ‘Chyna’ Mokaila raia wa Afrika Kusini akiwaongoza wachezaji wa Yanga leo kwenye mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.